IT Guru
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 635
- 112
- Thread starter
- #41
kaka tatizo kama hilo ni simple kulitoa kwani mm huwa natoa mara nyng, nenda kwenye Regesty KEy kama ulitaja hapo juu cha muhim ukishaliona hlo neno StorageDevicePolicies right click kwenye value badili kutoka 1 kwenda 0 ukishamalza hvyo chomoa flash halaf chomeka tena hapo utaweza kuadd na kutoa vitu humo kama hiyo haitawork nishtue au ni PM kuna kaprogram nnako na kuzuia hyo k2
hiyo njia ya kuedit registry nimeitumia imekataa mkuu.nimekuPM