Jinsi ya kuondoa write protection kwenye flash

Hackerz

JF-Expert Member
Apr 25, 2016
352
235
Habari JF leo napenda tujifunze namna ya kutoa write protection kwenye flash.
Kwanza lazima tujue nini maana ya write protection, maana yake ni kwamba ni uwezo wa flash au disk kuzuia kuandika (write) au kubadili data au mafaili yaliyopo kwenye flash au disk hiyo. Hivo basi ukikuta flash yako inagoma ku copy au ku delete mafaili yako na inakuletea meseji kwamba "write protected", basi jua kuwa kuna viruses wame set hiyo flash yako isiweze kufuta au ku copy mafaili.

TWENDE PAMOJA......,๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chomeka flash yako kwenye kompyuta yako.
2. Fungua command line as administrator.
3. Andika DISKPART alaf bonyeza enter.
3. Andika LIST DISK alaf bonyeza enter.
4. Andika SELECT DISK 1 alaf bonyeza enter. Kumbuka hiyo 1 ni namba ya flash yako, utaiona maana itakuwa na gb chache kuliko hard disk yako, hivo unachagua namba yake unaiweka kwenye sehemu ya 1.
5. Andika CLEAN alaf bonyeza enter.
6. Andika CREATE PARTITION PRIMARY alaf bonyeza enter.
7. SELECT PARTITION 1 alaf bonyeza enter. kumbuka 1 ni namba ya flash yako.
8. Andika ACTIVE alaf bonyeza enter.
9. Andika FORMAT FS=FAT32 QUICK alaf bonyeza enter.
10. Andika ASSIGN alaf bonyeza enter.
11. Andika EXIT alaf bonyeza enter.
Hapo tayari umeshatoa write protection kwenye flash yako hibo basi unaweza ku delete na ku vopy mafaili kwenye kompyuta yako.
Aaron
 
Duh ipo kazi kukumbuka comand zote hizi. Asante kwa suluhisho hili
Ukiwa programmer au una interest na programming hiyo siyo ishu, tena unafanya kwakuenjoy kabisa
Habari Jf leo napenda tujifunze namna ya kutoa write protection kwenye flash.
Kwanza lazima tujue nini maana ya write protection, maana yake ni kwamba ni uwezo wa flash au disk kuzuia kuandika (write) au kubadili data au mafaili yaliyopo kwenye flash au disk hiyo. Hivo basi ukikuta flash yako inagoma ku copy au ku delete mafaili yako na inakuletea meseji kwamba "write protected", basi jua kuwa kuna viruses wame set hiyo flash yako isiweze kufuta au ku copy mafaili.
TWENDE PAMOJA......,
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chomeka flash yako kwenye kompyuta yako.
2. Fungua command line as administrator.
3. Andika DISKPART alaf bonyeza enter.
3. Andika LIST DISK alaf bonyeza enter.
4. Andika SELECT DISK 1 alaf bonyeza enter. Kumbuka hiyo 1 ni namba ya flash yako, utaiona maana itakuwa na gb chache kuliko hard disk yako, hivo unachagua namba yake unaiweka kwenye sehemu ya 1.
5. Andika CLEAN alaf bonyeza enter.
6. Andika CREATE PARTITION PRIMARY alaf bonyeza enter.
7. SELECT PARTITION 1 alaf bonyeza enter. kumbuka 1 ni namba ya flash yako.
8. Andika ACTIVE alaf bonyeza enter.
9. Andika FORMAT FS=FAT32 QUICK alaf bonyeza enter.
10. Andika ASSIGN alaf bonyeza enter.
11. Andika EXIT alaf bonyeza enter.
Hapo tayari umeshatoa write protection kwenye flash yako hibo basi unaweza ku delete na ku vopy mafaili kwenye kompyuta yako.
Aaron
Code hizo huwa ninazitumia kuifanya flash iwe bootable.
 
the create part pri ndio inaondoa all errors kwenye device na pia be care full with the selection of disks "partitions" and the format used bcz external for large files over 4 gb use exfat
 
Mkuu, iyo njia nilishajaribu sana, inakubali kwa baazi ya ussd frash
But kuna nyingne huwa zina fail nakuleta message "fail to clean,error occur"

Na ukicheki frash haina crack wala shida yeyote zaid,

Hapo tatizo linakuwa wapi mkuu? Niongezee maujanja..
 
Mkuu kwa upande wangu ninazo flash kama tatu zote nimejaribu hii njia haijatatua tatizo, nimetumia software kama easus, aomei lakini sikufanikiwa. Pia nilijaribu kutengeneza registry za write protection pua sijafanikiwa. Pia kutumia command kwa kuclear readonly bado sijafanikiwa. Kama kuna njia au maujanja mengine ambayo sijayafanya naomba unushirikishe mkuu.
 
Mkuu naomba ujibu maswali haya basi
Nasubili majibu!
 
Mkuu kwa upande wangu ninazo flash kama tatu zote nimejaribu hii njia haijatatua tatizo, nimetumia software kama easus, aomei lakini sikufanikiwa. Pia nilijaribu kutengeneza registry za write protection pua sijafanikiwa. Pia kutumia command kwa kuclear readonly bado sijafanikiwa. Kama kuna njia au maujanja mengine ambayo sijayafanya naomba unushirikishe mkuu.
ngoja wake mkuu
 
Habari Jf leo napenda tujifunze namna ya kutoa write protection kwenye flash.
Kwanza lazima tujue nini maana ya write protection, maana yake ni kwamba ni uwezo wa flash au disk kuzuia kuandika (write) au kubadili data au mafaili yaliyopo kwenye flash au disk hiyo. Hivo basi ukikuta flash yako inagoma ku copy au ku delete mafaili yako na inakuletea meseji kwamba "write protected", basi jua kuwa kuna viruses wame set hiyo flash yako isiweze kufuta au ku copy mafaili.
TWENDE PAMOJA......,๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chomeka flash yako kwenye kompyuta yako.
2. Fungua command line as administrator.
3. Andika DISKPART alaf bonyeza enter.
3. Andika LIST DISK alaf bonyeza enter.
4. Andika SELECT DISK 1 alaf bonyeza enter. Kumbuka hiyo 1 ni namba ya flash yako, utaiona maana itakuwa na gb chache kuliko hard disk yako, hivo unachagua namba yake unaiweka kwenye sehemu ya 1.
5. Andika CLEAN alaf bonyeza enter.
6. Andika CREATE PARTITION PRIMARY alaf bonyeza enter.
7. SELECT PARTITION 1 alaf bonyeza enter. kumbuka 1 ni namba ya flash yako.
8. Andika ACTIVE alaf bonyeza enter.
9. Andika FORMAT FS=FAT32 QUICK alaf bonyeza enter.
10. Andika ASSIGN alaf bonyeza enter.
11. Andika EXIT alaf bonyeza enter.
Hapo tayari umeshatoa write protection kwenye flash yako hibo basi unaweza ku delete na ku vopy mafaili kwenye kompyuta yako.
Aaron
Na hii tatizo, ngoja nitajaribu nilete mrejesho
 
Mimi tabu nimeipata step ya kwanza tu..
Sijui hio command line as adminstrator iko sehemu gani kwenye pc
 
Nenda kwenye start ya pc yako nadhani itakuwa imeandikwa 'Run' kama sijasahau kisha kwenye kibox andika cmd itaonekana upande wa kushoto huwa kana rangi nyeusi ti kisha rightclick hapo utaona option ya "run as administrator" ikishafungua command prompt ingiza hizo command zako sasa. Ok?
 
Nafika mpaka stage ya 5 hapo kwenye kuclean, cmd inaniletea meseji kwamba diskpart has encountered an error, the media is write protected.
 
Habari Jf leo napenda tujifunze namna ya kutoa write protection kwenye flash.
Kwanza lazima tujue nini maana ya write protection, maana yake ni kwamba ni uwezo wa flash au disk kuzuia kuandika (write) au kubadili data au mafaili yaliyopo kwenye flash au disk hiyo. Hivo basi ukikuta flash yako inagoma ku copy au ku delete mafaili yako na inakuletea meseji kwamba "write protected", basi jua kuwa kuna viruses wame set hiyo flash yako isiweze kufuta au ku copy mafaili.
TWENDE PAMOJA......,
HATUA ZA KUFUATA.
1. Chomeka flash yako kwenye kompyuta yako.
2. Fungua command line as administrator.
3. Andika DISKPART alaf bonyeza enter.
3. Andika LIST DISK alaf bonyeza enter.
4. Andika SELECT DISK 1 alaf bonyeza enter. Kumbuka hiyo 1 ni namba ya flash yako, utaiona maana itakuwa na gb chache kuliko hard disk yako, hivo unachagua namba yake unaiweka kwenye sehemu ya 1.
5. Andika CLEAN alaf bonyeza enter.
6. Andika CREATE PARTITION PRIMARY alaf bonyeza enter.
7. SELECT PARTITION 1 alaf bonyeza enter. kumbuka 1 ni namba ya flash yako.
8. Andika ACTIVE alaf bonyeza enter.
9. Andika FORMAT FS=FAT32 QUICK alaf bonyeza enter.
10. Andika ASSIGN alaf bonyeza enter.
11. Andika EXIT alaf bonyeza enter.
Hapo tayari umeshatoa write protection kwenye flash yako hibo basi unaweza ku delete na ku vopy mafaili kwenye kompyuta yako.
Aaron
Nikiandika "CLEAN" baada ya sekunde chache inaleta ujumbe huu;

"DISKPART HAS ENCOUNTERED AN ERROR : THE SYSTEM CAN NOT FIND THE FILE SPECIFIED. SEE THE SYSTEM EVENT LOG FOR MORE INFORMATION. "

Je kwa ujumbe huu hii flash ndo imekufa au bado naweza kuinusuru?

Kumbuka nikiichomeka inaleta ujumbe kuwa you need to format the disk in F before you can use it.

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Ndo basi tena hiyo jalala inaihusu.
Watu tumetupa mamia ya flash, SD card zenye ugonjwa huo maana hakuna solution mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom