Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 659
Naomba aliyefanikiwa kuondoa write protection kwenye USB FLASH anisaidie, nimejaribu kutumia njia kadhaa mfano registry, discpart lakini kwa miaka kadhaa sasa bado, naomba mnisaidie maana nimepitia threads kadhaa humu JF za miaka ya nyuma lakini sijapata suluhu. Natumia windows 10, natanguliza shukrani