Msaada: Naogopa kazi mpya

Msaada: Naogopa kazi mpya

Kaa ulipo tu , kama ulipo ushajikita, pambana hapo .
Kuna dogo nilimtafutia kazi kwa showroom ya magari msahara +bonus alikuwa 1.2M hakosi kwa mwezi . Mazda na Honda wakaja wakitafuta wauzaji waliokomaa so wakamshawishi na 1.8M mshahara. Jamaa akajump ship kuendea hela , mwaka haukuisha akafutwa kazi na kubaki bila kitu . Pale alipokuwa zamani bado panaendelea mpaka leo . Be keen usipoteze vyote

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Shida ilikuwa nn????
 
Nenda ukafanye kazi hautafukuzwa leoleo utafukuzwa baada ya miezi mitatu
 
Back
Top Bottom