Msaada: Naogopa kazi mpya

Msaada: Naogopa kazi mpya

Mwka 2015 nilipta bahati Kama zako na ukicheza tu unapoteza Kaz zote

Nilipata mkataba mnono nmb Kanda ya magharibi nikapiga baadae nikaitwa ktk kampunin moja mjini Arusha mshaahra nitalipwa kwa dolari nikakimbilia huko Kisha hata miezi sita kampuni ikapata short kubwa nikapunguzwa ajira Ni majuto kwa Kweli

Kimsing baki na hyo hyo mzee unless ucheki vzr
 
Watu wanapata kazi marekani na mataifa ya ulaya , kumbuka apo kuna mgongano mkubwa wa lugha [emoji2958] ila wanakaza hivyo hivyo kibubu bubu mpaka mwisho wa siku wanakua manguli wakubwa wa hizo kazi, japo unakuta una kizungu chako cha shule ya kata namtumbo.

Unajikuta unafanya kazi na watu wapo smart kwanzia mkubwa ( boss) mpka wafanya usafi ila hivyo hivyo mpaka unakua master.
 
Chunguza iyo campuni unayo hamia,je inamuda gani,mzunguko wake wa hela na vitu vingine ili uchekeche akilini mwako ulinganishe stability
 
Sasa ushajua mapungufu yako na ushajua wao hapo wanataka nini...why usi ji tune wanavyotaka? Si uwe sharp jamani..so unaogopa ogopa na uko kwny probation? Fanya kazi acha uoga..umesema umeshaingia so ushauri hapa ni kufanya kazi..dance accordingly acha uzembe..la sivyo utakuja kusema hapa sijapewa mkataba after brobation...
 
Asanten kwa ushauri,wengine tunatoka katika familia ambazo watu wa kukupa ushaur ni hawapo so huku jamiiforums huwa tunapata good advice
 
Habarini za humu wanajf, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27.

Nilikuwa na kazi katika taasisi moja hivi ya private sector amabapo nilikuwa napewa mshahara wa sh 1,000,000 kwa mwezi, katika harakati zangu za hapa na pale nikawa naomba kazi kwenye taasisi nyingine bahati nzuri nikapata, ambapo mshahara sasa ni mara mbili ya wa awali pamoja na marupurupu, ila naogopa na nina wasiwasi nitazingua kwasababu kazi hii mpya inahitaji umakini sana na kuwa sharp ambapo mimi huwa naona na mapungufu.

Msaada wadau on how to go about it, hela ninaitaka ila naogopa maana hapa probation yenyewe miez 9
Kwanza, pongezi kwa kupata kazi mpya yenye mshahara mara mbili ya uliokuwa unapata! Kuingia katika nafasi mpya na yenye changamoto zaidi inaweza kukufanya kuwa na wasiwasi, lakini kuna njia za kukuwezesha kuwa bora na mfanisi. Hapa kuna ushauri wa kukusaidia:

  1. Panga na Weka Malengo: Anza kwa kuweka malengo madogo ya kila siku au wiki ambayo yatakusaidia kufikia viwango vya utendaji vinavyotarajiwa. Malengo haya yanapaswa kuwa mahususi, yapimike, yanafikiwa, yanahusiana na kazi, na yana muda maalum (SMART).
  2. Tafuta Mafunzo na Ushauri: Usisite kutafuta mafunzo zaidi au ushauri kutoka kwa wenzako au viongozi katika taasisi yako mpya. Ujuzi na uzoefu wao unaweza kuwa rasilimali muhimu kwako.
  3. Jitoe kwa Kujifunza Kila Siku: Tumia muda kujifunza kuhusu sekta yako, mbinu mpya, na zana zinazohusiana na kazi yako. Ujuzi mpya utakusaidia kuongeza kujiamini kwako na umakini katika kazi.
  4. Jenga Uhusiano Mzuri na Wenzako: Kujenga mahusiano mazuri kazini kunaweza kukusaidia kupata msaada unapohitaji na kuongeza ufanisi wako katika timu.
  5. Fanya Mazoezi ya Kujiamini: Jiamini na ujikumbushe kuhusu mafanikio yako ya zamani na uwezo wako. Kujiamini kunaweza kukuwezesha kukabiliana na changamoto mpya kwa ujasiri zaidi.
  6. Usimamizi wa Muda: Tumia muda wako kwa hekima, panga kazi zako kulingana na vipaumbele, na usisite kusema "hapana" kwa majukumu ambayo yanaweza kusubiri au hayahusiani moja kwa moja na malengo yako ya msingi.
  7. Kuwa wazi kuhusu matatizo/changamoto kazini: Ikiwa unakabiliwa na changamoto, usisite kuomba msaada. Kuwa wazi kwa wanaokusimamia pamoja na unaofanya nao kazi kuhusu changamoto kunaweza kusaidia kupata suluhisho mapema.
Kumbuka, kila mtu anakabiliwa na wasiwasi anapoanza nafasi mpya. Kuchukua hatua hizi kutakusaidia kujenga msingi thabiti katika nafasi yako mpya na kukuwezesha kukabiliana na hofu yoyote uliyo nayo. Kila la kheri katika safari yako mpya ya kazi!
Godwin peter
 
Kwanza, pongezi kwa kupata kazi mpya yenye mshahara mara mbili ya uliokuwa unapata! Kuingia katika nafasi mpya na yenye changamoto zaidi inaweza kuwa na wasiwasi, lakini kuna njia za kukuwezesha kuwa bora na mfanisi. Hapa kuna ushauri wa kukusaidia:

  1. Panga na Weka Malengo: Anza kwa kuweka malengo madogo ya kila siku au wiki ambayo yatakusaidia kufikia viwango vya utendaji vinavyotarajiwa. Malengo haya yanapaswa kuwa mahususi, yapimike, yanafikiwa, yanahusiana na kazi, na yana muda maalum (SMART).
  2. Tafuta Mafunzo na Ushauri: Usisite kutafuta mafunzo zaidi au ushauri kutoka kwa wenzako au viongozi katika taasisi yako mpya. Ujuzi na uzoefu wao unaweza kuwa rasilimali muhimu kwako.
  3. Jitoe kwa Kujifunza Kila Siku: Tumia muda kujifunza kuhusu sekta yako, mbinu mpya, na zana zinazohusiana na kazi yako. Ujuzi mpya utakusaidia kuongeza kujiamini kwako na umakini katika kazi.
  4. Jenga Uhusiano Mzuri na Wenzako: Kujenga mahusiano mazuri kazini kunaweza kukusaidia kupata msaada unapohitaji na kuongeza ufanisi wako katika timu.
  5. Fanya Mazoezi ya Kujiamini: Jiamini na ujikumbushe kuhusu mafanikio yako ya zamani na uwezo wako. Kujiamini kunaweza kukuwezesha kukabiliana na changamoto mpya kwa ujasiri zaidi.
  6. Usimamizi wa Muda: Tumia muda wako kwa hekima, panga kazi zako kulingana na vipaumbele, na usisite kusema "hapana" kwa majukumu ambayo yanaweza kusubiri au hayahusiani moja kwa moja na malengo yako ya msingi.
  7. Kuwa wazi kuhusu matatizo/changamoto kazini: Ikiwa unakabiliwa na changamoto, usisite kuomba msaada. Kuwa wazi kwa wanaokusimamia pamoja na unaofanya nao kazi kuhusu changamoto kunaweza kusaidia kupata suluhisho mapema.
Kumbuka, kila mtu anakabiliwa na wasiwasi anapoanza nafasi mpya. Kuchukua hatua hizi kutakusaidia kujenga msingi thabiti katika nafasi yako mpya na kukuwezesha kukabiliana na hofu yoyote uliyo nayo. Kila la kheri katika safari yako mpya ya kazi!
Godwin peter

Dah asante sana,comment yako imenipa faraja sana.Naahidi naenda kufanya kazi kwa kufuata huu ushauri naamini natafanya vzr
 
Magu aliwah kusema alibip urais akasukumizwa lkn akawa rais hivyo jitose tu mkuu mambo ni mbele kwa mbele huenda kupitia huko ukapata tena inshu kubwa zaidi
 
Hivi kweli una shida ya hela...unapata kazi unaanza kuogopa seriously??
Mwanaume?? Unaogopa changamoto za kazi?.. okay basi sawa
 
Sasa ushajua mapungufu yako na ushajua wao hapo wanataka nini...why usi ji tune wanavyotaka? Si uwe sharp jamani..so unaogopa ogopa na uko kwny probation? Fanya kazi acha uoga..umesema umeshaingia so ushauri hapa ni kufanya kazi..dance accordingly acha uzembe..la sivyo utakuja kusema hapa sijapewa mkataba after brobation...
Ukweli mchungu
 
Kwenye kazi huwa hatuangalii mshahara tu ,bali tunaangalia mazingira ya kazi. Jinsi wanavyojali wafanyakazi pamoja na kubalance familia na kazi etc. Pia tunaangalia uwezekano wa kukua katika kazi, usiende tu kichwakichwa.
Good advice
 
Back
Top Bottom