Msaada: Nani kaimba huu wimbo kama unao nisaidie

Msaada: Nani kaimba huu wimbo kama unao nisaidie

Chorus aliimba Daz 'mwalimu' Baba nakumbuka nahisi wimbo ni wa Jaffarai ngoja nicheki kwenye library yangu nitarudi nimeusahau jina.
 
Ukienda mbali nitaumia mia (kuna hayo maneno)?
wimbo unaanza na chorus sauti kama ya Daz baba japo sina uhakika anachana hivi ...

Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai
x 2

Kisha verse one kuna saut kama ya Jaffarai anachana

#sam-hani laziz
 
ahsante mkuu lakin sio huu,, naotafuta mimi chorus yake ipo hivi

Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai
Inaelekea umemkosea mtu,unae mpenda pole mkuu.omba amani ya Kristo itawale na umuombe msamaha.
 
Hello wana JF ..
kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa

Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai

Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai ndani yake japo sina uhakika

Nimegugo sana mpaka nimechoka niliwah kuwa nayo kabla PC yangu hajaibiwa...nilikuwa nimeisevu kwa jina la mp3 ndo maana imekuwa ngumu kujua aliyeiimba...msaada kama unaifaham
'ulikuwa unamiliki pc gn?'
 
ahanteni wana JF japo sikufanikiwa kuipata hapa iyo nyimbo nimeipata Mwenge stendi ya zamani ,kariakoo nilizunguka sana nikaikosa ila kama utani tu leo nilikuwa Mwenge nikajaribu kuitafuta mara moja tu nikaipata......
 
Ubandike hapa nasi tuujue
 
Hello wana JF ..
kuna nyimbo ya bongo flava ina chorus hii hapa

Mpenzi wangu samahani
Makosa nimekosa mimi
Naomba unisamee angali bado niko hai

Ni ya kitambo kidogo nahisi kuna sauti ya Jafarai ndani yake japo sina uhakika

Nimegugo sana mpaka nimechoka niliwah kuwa nayo kabla PC yangu hajaibiwa...nilikuwa nimeisevu kwa jina la mp3 ndo maana imekuwa ngumu kujua aliyeiimba...msaada kama unaifaham
Jaffarai ft daz mwalimu ninao ila u anauzwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom