Kama unazo nisaidie

Kama unazo nisaidie

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
724
nyimbo hz hapa

ya kwanza inaimbwa hv

"""mpenzi wangu samahani
"""makosa nimekosa mimi
"""naomba unisamee angali bado niko hai



Ya pili inaimbwa hv


""""sina demu kama unavyoniona Mpenzi
""""ndo maana nimekuchagua wewe ukidhi yangu mahtaji

""""sio kwamba mimi sitaki demu .ila uzuri wako unatosha kuwa malaika Wangu



ni Bongofleva za kitambo kama unazo nitumia hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom