kitai songea saphire nyekundu
kuna saphire ya kitai au masuguru au amani makolo songea kuna saphire ya tunduru.kila eneo lina sifa yake.
HI NI TATIZO KUBWA SNA KWENYE HI FANI.saphire nyekundu wajanja wanauza km ruby,wananunua masuguru songea nakuuzia monte puez,na kisayansi inakubalika wote ni kundi moja au familia moja.RUBY NA SAPHIRE WOTE WAMETOKA KTK MWAMBA MMOJA UNAITWA CORONDUM.saphire ikiwa nyekundu tunaita RUBY ikiwa blue TUNAITA BLUE SAPHIRE nk.ndyo mana wanjanja sahv wanauza km ruby.
uwe specific gem ipi unataka?km ni saphire uende kitai songea km haya cheap stone maeneo mengi yanapatikana ila watu hawangaikanazo sbb hawaelewi masoko zake.km una hela ako ajiri vijana muende porini mkapige kazi.KUHUSU KONGO ISHU YAKE NGUMU,HAWA MAJAMAA NI NOMA KWAO,WAMESHAWAFANYIZIA WABONGO KWAO.kuna jamaa zangu walishawahi kupiga kazi kongo walipata shda sna,madini yapo ila roho zao mbya,afu kingne waasi ukikutanao wanakunyanganya mzgo nakukupigisha kaz migodini.HAPAFAI KWA KAZI LABDA UWE JASIRI NA UWE TAYARI KWA LOLOTE NA UNAZIFAHAMU NJIA ZA CHOCHO
kilosa pia wana suphire ya kilo type
madini kama supphire au ruby yaani germ stone zenye soko zuri... msingi ninao kama milioni 30 ila sasa kupata mtu mwaminifu ndio kazi
unazifahamu ruby corrundumn au ruby nut za matale morogoro unaweza kuwa na soko nzuri
sijakuelewa yani umtumie mtu akununulie?usije ukajaribu,utapoteza pesa zote.afu aina ya madini unayotaka saphire au ruby utaumia tu,yana kazi sna.yanapatikana kw shda.nahakuna njia nyngne labda uzamini wachmbaji wadogo,mkipata wanakuuzia na wewe km share pia unakuwa na mgao wako nje ya kununua.ila nakushaur dil na cheap stone haisumbui wala haitaji mtaji mkubwa.
unazifahamu ruby corrundumn au ruby nut za matale morogoro unaweza kuwa na soko nzuri
OK.. si uliniambia ajiri watu wakapige waingie porini?? cheap stone masoko yake yapo wapi??
kilo type ndio supphire gani mkuu na supphire na bei zinafanana au tofauti??
Wakuu naomba kujua ni tajiri gani hapa Dar-es-salaam ananunua madini,kama vile Gemstone.Maana naona wamejaa madalali tu.Sasa kama kuna mtu ananunua madini anapatikana Dar maeneo gani?Msaada tafadhari.
sijawahi iona.umeshajaribu arusha soko lake
unapoajiri unatakiwa na ww uwepo hapo.mara nyng vijana wakaz wanapatikana huko huko machmboni.labda iwe chmbo jipya.kuhusu cheapstone masoko yapo arusha na nje ya nch pia wapo wanaopeleka wako wengi.
ni saphire nut zinaitwa zinauzwa kwa kg....kg1 ni 27000/ wahindi toka jaipur ndo wanunuzi wakubwa......
OK.. si uliniambia ajiri watu wakapige waingie porini?? cheap stone masoko yake yapo wapi??
mbona wananunua in cheap price sana kwa kg?? sasa unatakiwa upate mzigo wa kiasi gani hadi ulipe??
muelimishe . s.crony kuhusu malapa mimi namjua malapa wakati huo tunduru inatamba mimi nilipelekwa na mjomba wangu huko kusaidia camp wakati huo mimI nna miaka 15, malapa yupo mpaka leo hiI yupo anakomaa na game..jamaaa mbishi wale ndiyo wanunuzi nguli wa madini africa nzima anazunguka
sisi tumeanza wauziaa sh 500 kwa kg...ila kwa wiki ilikuwa unaweza pata kg hadi 100 au 150
unapochimba cheap stone lazima ujue utamuzia nani ? cheap stone ni kama sunstone, feldsper, blu kynite, quartz,tormaline ya makilo,opal etc ziko nyingi na katika hizo mfano feldsper na sunstone ziko za rangi tofauti mfano kuna white, black, carrot colour ya felsper juzi juzi feldsper iliyokuwa inatakiwa ni carot colour, inaonekana buyers walikuwa na oeder ya kubwa huko hong kong ...wanunuzi wapo wabongo wanajitahidi kununua cheap stones...so kikubwa fanya utafiti wa soko na ni mawe gani unaweza yapata kwa urahisi...kuwa na target I mean