Msaada: Namtafuta Frank Wilfred Mushi

Msaada: Namtafuta Frank Wilfred Mushi

msaranga1

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
333
Reaction score
273
Huyu jamaa alipotea toka may 15 mwaka jana na tuliachana naye pale Mabibo Hostel kifupi jamaa ali graduate Mzumbe akaja Dar kutafuta job ila akaishiwa pesa akishindwa kuendelea na apllication. Ishu ni pale alipoacha vyet vyake vyote tena original copy kuanzia Birth Certificate, O Level, A Level na Full Transcipt ya Bachelor
 
Jaribu kucheki Facebook unaweza kumpata.
 
kwa hiyo toka mwaka jana may una hivo vitu vyake? umekosea kukaa navyo all that time ungevipeleka hata kwa media, police, chuo alichomalizia au shule, since may man that's too long umemlostisha sana bwana Mushi despite kuwa kakosea yeye, sasa basi fanya hima kesho vipeleke hayo maeneo atafutwe upesi.
 
Mhm!namjua mkaka alikua anaitwa frank mushi ila jina lake la katikati ndo clijui,alimalza chuo 2011 nadhani ndo huko mzumbe{cna uhakika sana ila alikua graduate},alifariki kwa ajali ya gari na tumemzka mwaka jana mwezi huo huo unao usema wewe kijijin kwao masama-kilimanjaro.
 
Na wewe ni graduate???

huyu jamaa alipotea toja may 15 mwaka jana na tuliachana nae pale mabibo hostel. kifupi jamaa ali graduate mzumbe akaja dar kutafuta job ila akaishiwa pesa akishindwa kuendelea na apllication .ishu ni pale alipoacha vyet vyake vyote tena original copy kuanzia birth cirtificate ,o level,a level na full transcipt ya batchelor
 
So sad.. RIP ...
 
aisee.
 
du pole sana kama alifariki,mungu amlaze pema peponi
 
Ingia google search unaweza mpaka majina huwa yanafanana sana

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
I hope not frustration that killed him. Maana miwazo mingi hata umakini barabarani saa nyingine unasahau
 
Mhm!namjua mkaka alikua anaitwa frank mushi ila jina lake la katikati ndo clijui,alimalza chuo 2011 nadhani ndo huko mzumbe{cna uhakika sana ila alikua graduate},alifariki kwa ajali ya gari na tumemzka mwaka jana mwezi huo huo unao usema wewe kijijin kwao masama-kilimanjaro.

Jamani ni frank nnayemfahamu au? Alikua mweupe hivi na kimo cha wastani?
 
Mhm!namjua mkaka alikua anaitwa frank mushi ila jina lake la katikati ndo clijui,alimalza chuo 2011 nadhani ndo huko mzumbe{cna uhakika sana ila alikua graduate},alifariki kwa ajali ya gari na tumemzka mwaka jana mwezi huo huo unao usema wewe kijijin kwao masama-kilimanjaro.

Frank Wilfred Mushi is still missing incase kuna ambaye ana taarifa zake, huyu jamaa ni mtoto wa ndugu yangu, kwao ni moshi maeneo ya kiboriloni njia ya kupanda kolila sec, alikulia kwa bibi yake Sanya Juu, kuzikwa masama na bila ndugu yake yeyote kujua ni wazi kuwa huyu ni Frank mwingine.
 
Naona umekuja na ID yako nyingine,ndani ya mwezi mmoja ulifungua IDs mbili tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom