omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 609
- 771
Mhm!namjua mkaka alikua anaitwa frank mushi ila jina lake la katikati ndo clijui,alimalza chuo 2011 nadhani ndo huko mzumbe{cna uhakika sana ila alikua graduate},alifariki kwa ajali ya gari na tumemzka mwaka jana mwezi huo huo unao usema wewe kijijin kwao masama-kilimanjaro.
NI MWEUPE MAANA KUNA FRANK MUSHI TULIGRADUATE WOTE 2011,KAMA NI YEYE BASI NI BAD NEWS KWANGU.KINACHO NIFANYA NIWE NA WASIWASI NI MWAKA HUO ULIOUTAJA.