Msaada namna ya kuweka windows kwenye simu ya android

Msaada namna ya kuweka windows kwenye simu ya android

huwezi ukaweka windows kwenye simu ya android sababu windows inatumia mfumo wa x86 na android inatumia arm, ila baadae mwakani microsoft watatoa windows for arm pengine watu watakuja kuweza.

kama ulimaanisha windows phone hio ni story nyengine.

ila zipo emulators zinazokuwezesha kurun apps za pc kwenye simu, sema bado nazo hazijakomaa ni program chache sana unaweza kurun

mfano wa emulator hio ni exagear strategies
 
Unaweza kwa kutumia emulator ya "limbo" unaweza kurun windows xp na nyinginezo.
 
Nmeshindwa kutuma maana ni apk file but anaehitaji anichek telegram 0652923823 nimtumie is real window and not launcher kama mnavosema shda ni trial you need to purchase
 
oya za kupewa changanya na zako, ustegemee kupewa kila kitu. apo nmekurahisishia kabisa km title ya app unayo ingia google then search how to use. pia ukiingia youtube kuna tutorial nyingi sana.
 
Back
Top Bottom