Msaada namna ya kuweka link kwenye facebook

Msaada namna ya kuweka link kwenye facebook

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
681
Reaction score
87
wanajamii ntawezaje kuweka link kwenye post za facebook?mfano nataka kumuelekeza mtu'ingia hapa u download nyimbo'
 
copy hiyo link paste kwenye sehem ya ku update status...
 
pale unapoweka status update si unapajua...?? yeah...then copy hiyo link yako na uipaste hapo...subiri kama sekunde 10 hivi utaona yenyewe ina search contents za hiyo link then ikimaliza we una post tu!
 
yaani kama hivi:

Picture1.jpg
 
hii inakua hivi, ila sio kwenye fesi1000 tu kwenye mtandao kwa ujumla,
Cheki huu mfano hapa
(url="www.jamiiforums.com") HAPA (/url)
cha kufanya hapa wewe una andika kama ilivyo hapo juu ila kwenye mabano ya ( ) badilisha yawe [ ].,
mimi nikibadilisha itakua hivi

HAPA
 
Hii haifanyi kazi kwenye Facebook.
 
Mimi nielekeze jinsi ya kuweka link hapa kwenye JF.... huko nyuma walishaelekeza hiyo topic sijui iko wapi....

sure, sio mbaya walisha elekeza ila namimi nimekua expert so it helps, fanya kama nalivyoandika hapa chini ila utatumia mabano ya square yani [ ] ,kwa mfano zaidi, wewe just copy na ku paste hyo eg hapo then edit hayo mabano ya () na weka ya [ ], hapo kwenye website ndio unaweka adress ambayo unataka umpe mtu link yenyewe, embu jaribu tuone
 
Mkuu nashukuru sana ila nilisearch hadi nikaipata ile topic na tayari nilishaelewa.
Asante sana!
 
Back
Top Bottom