MSAADA:Namna ya kutrace simu iliyopotea

Mtu mbalimbali

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
314
410
Habari zenu wakuu
Nimepoteza simu yangu aina ya Samsung Galaxy note 9 nipo dar es salaam nimeenda polisi wananipiga kalenda toka juzi
Naomba wenye ujuzi namna ya trace hiyo simu kwa kutumia either email address au IMEI number anipe ujuzi au muongozo wa nn cha kufanya niweze kuikomboa simu yangu

NB; Tusaidiane kwa waliowahi pata simu zao zilizopotea wanipe maujuz wa namna zilivyopotekana na pia tusivunjane moyo jaman maisha tu haya
CHIEF MKWAWA donlucchese
 
Acha uongo polisi wao wenyewe izi kesi wanazipenda maana pesa nje njeee. Hujapoteza simu yyt kijana tuliza mshono JF kupata umaarufu its takes tym
 
SIDHANI KAMA NI SAWA KUMSEMEA, SIDHANI KAMA ATAPOTEZA MUDA KUANDIKA MAMBO KAMA HAYA AFU IWE UONGO
Tena siku hzi polisi iko strict na simu za wizi ukipeleka tu shitaka la kuibiwa simu na EMEI number imekwisha kma iko hewani utaambiwa ilipo na atakamatwa hata kama haiko hewani utaambiwa imezimwa lini na wapi na wataendelea kuifuatilia na ukienda utapewa updates ABC

NB: Sheria mpya nowdays ukimatwa na simu ya wizi unanunua Kama hiyo unampa aliyeibiwa mpya then io simu uliyokatwa nayo ni mali ya polisi na sheria itachukuliwa dhidi yako.
 
Umaarufu gan mkuu kwan kuna anaelipwa humu au ni kusaidiana tunasaidiana
Haukuwa na haja ya kusema hayo yote
Ungetoa ushauri af maisha yanaendelea

Paka naanzisha uzi maanake ninashida
Unauhakika kama ni uongo au unaongea as if wew ndio umeiba
Respect yourself
 
SIDHANI KAMA NI SAWA KUMSEMEA, SIDHANI KAMA ATAPOTEZA MUDA KUANDIKA MAMBO KAMA HAYA AFU IWE UONGO
Jamaa hajaelewa nadhan,
Hao hao polisi anaowatetea nimewapelekea kesi yangu since Jumatatu na bado wananizungusha tu. Sikuwa na haja ya kuuliza kwa wajuzi kama simu imepatikana
 
Tena siku hzi polisi iko strict na simu za wizi ukipeleka tu shitaka la kuibiwa simu na EMEI number imekwisha kma iko hewani utaambiwa ilipo na atakamatwa hata kama haiko hewani utaambiwa imezimwa lini na wapi na wataendelea kuifuatilia na ukienda utapewa updates ABC

NB: Sheria mpya nowdays ukimatwa na simu ya wizi unanunua Kama hiyo unampa aliyeibiwa mpya then io simu uliyokatwa nayo ni mali ya polisi na sheria itachukuliwa dhidi yako.
Haya ndo maneno mkuu
Ngoja niendelee kuskilizia wameniambia nirudi Jumatatu
Hofu yangu ni kuwa simu inaeza funguliwa wahuni wakaanza kuuza spare ndio maana natafuta mbadala
 
Back
Top Bottom