Kama uko darsalaam sana Rafiki zangu
kama kichwa kinavojieleza, ni kuwa nimepoteza simu yangu na ilkua n msaada mkubwa sana kwangu
nifanyeje niweze kuipata, imei ninayo
msaada tafadhali mwenzenu sina hali
vp gharama yake mkuuKama uko dar
Pole Sana kwanza unatakiwa uwende kurenew line yako hukohuko waambie Nataka niitrack simu yangu.
Watakwambia Nenda Polisi kwanza.
Kabla ya kwenda Polisi, Nenda Kwenye serikali za mitaa chukua barua ya utambulisho, peleka Polisi yoyote iliyo Karibu na wewe watakupa rb watakwambia uwende osterbay police au salenda kuanzia hapo Ndio zitaanza process za kumkamata mwizi wako usikate Tamaa utampata
asante sana mkuu,,,,,na inaweza kunchukua mda gan had kukamilishaUse na Vielelezo vyote vinavyoonyesha were ndie ulikuwa Mmiliki halali wa hip Simu (yaani Risiti n.k.) nenda Polisi upate RB na Lost Report. Ukiwa na hivi vyote nenda TCRA (Mawasiliano Tower). Huko utapata Ushirikiano wa kupata hiyo Simu yako!
asante sana mkuu,,,,,na inaweza kunchukua mda gan had kukamilisha
Dada hapo umezungumzia kwa dar, je ukiwa mkoan inakuaje!!!Kama uko dar
Pole Sana kwanza unatakiwa uwende kurenew line yako hukohuko waambie Nataka niitrack simu yangu.
Watakwambia Nenda Polisi kwanza.
Kabla ya kwenda Polisi, Nenda Kwenye serikali za mitaa chukua barua ya utambulisho, peleka Polisi yoyote iliyo Karibu na wewe watakupa rb na lost report watakwambia uwende osterbay police au salenda kuanzia hapo Ndio zitaanza process za kumkamata mwizi wako usikate Tamaa utampata
Kaka na mimi nina shida kama ya huyo jamaa, ngoja nikuone!!!Process za tcra n ndefu mno,, nipm nikupe msaada wa haraka ila hakikisha una rb ,imei no, na no ya simu ulokuwa unaitumia kwa hyo simu
Click jina lake then itakupeleka kwenye profile yake, then click message, then utajazaaaa maelezo yakokaka iv pm unatxt vp
Kwa hapo sijui, ngoja wengine wakusaidie!!!inaniandkia not support module private message daah hata haikubali
Mkuu uliwasiliana na huyo dada ili akupe msaada!!!mkuu kukutext pm nmeshindwa 0764328265 nichek watsap mkuu ukinsaidia ntakulipa ndgu yangu