jobel
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 321
- 174
nina laptop aina HP G62 Notebook PC, kuna jamaa aliazima na kunirudishia baada ya siku 1. tatizo kila ninapo weka modem kwa ajili ya internet, kuna icon inajitokeza kila baada ya muda mfupi. uki-cancel/ close, inarudi tena inakuwa na maelezo yafuatayo: billy.exe.No Disk There is no disk in the drive. Please insert a disk into drive\Device\Harddisk1\DR1
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuistop hiyo icon kwani inakera sana. asanteni.
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuistop hiyo icon kwani inakera sana. asanteni.