Moderm inaweza kupata Virus?

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Wakuu
Moderm (Airtel) imeanza kuniambia 'there is no disk in the drive. please insert a disk into drive/Device/harddisk1/DR5' kila ninapochomeka moderm. Ilianza na flash na sasa moderm nayo inafanya hivyo. Natumia min laptop, acer windows 7
1. Tatizo ni laptop au hizi flash/moderm?
2. Moderm inaweza kuwa na virus?
3. Nimeshindwa kuweka anti - virus katika laptop maana ina RAM 500 hivyo kila niki install anti - virus (za kudownload
free/trial) laptop inakuwa slow sana na niki uninstall inarudi katika hali ya kawaida. Anti - virus gani inafaa kwa laptop
ndogo?

Naombeni msaada wakuu maana kazi zinakwama. Nimejaribu ku google nimeshindwa kupata jibu
 
Hapana modem haina kirusi ila Port zako tayari zipo affected na sio modem tu yani ukiweka any USB device lazima upate hiyo message.

Solution rahisi ni kurestore computer yako to an early position where there was no such a thing
 
Hapo ni kuwa laptop yako ipo infected na Virus,so unapoweka flash au modem Virus ana jaribu kujicopy kwenye flash au modem,sasa anapokutana na write protect ya Modem ndo anatoa majibu hayo,just copy your data and reformat your laptop kisha weka ant virus na do updates kabla ya kurudishia data zako.
 
Nimewahi kuta mtu ameweka window 7 ktk dell ya 1.8 ghz na 512 ram alafu analalamika pc ipo slow.
Nakushauri kufanya backup na ufanye installation ya windows xp upya na kabla ya kurudisha files uweke antivirus kwanza.
 
Asanate sana. Hiyo xp naweza kudownload au hadi kununua
 
Uki google unaweza ku download ila kama ikishindikana nitakupatia copy wewe utanunua empty cd-rom tu
 
Wakuu
Moderm (Airtel) imeanza kuniambia 'there is no disk in the drive. please insert a disk into drive/Device/harddisk1/DR5' kila ninapochomeka moderm. Ilianza na flash na sasa moderm nayo inafanya hivyo. Natumia min laptop, acer windows 7
1. Tatizo ni laptop au hizi flash/moderm?
2. Moderm inaweza kuwa na virus?
3. Nimeshindwa kuweka anti - virus katika laptop maana ina RAM 500 hivyo kila niki install anti - virus (za kudownload
free/trial) laptop inakuwa slow sana na niki uninstall inarudi katika hali ya kawaida. Anti - virus gani inafaa kwa laptop
ndogo?

Naombeni msaada wakuu maana kazi zinakwama. Nimejaribu ku google nimeshindwa kupata jibu
Windows 7 inataka RAM ya ukubwa wa kuanzia 1 GB na kuendelea ndo hufanya kazi vizuri na si tofauti na hapo. Jaribu xp3 sp3 ni windows nzuri sana kwa RAM kama yako au unaweza kunulia RAM ya ukubwa wa 1GB na ukaendelea kutumia hiyo windows 7. Antivirus yenye ukubwa mdogo pengine inaweza kuwa mse (microsoft security essential) mi naitumia na haisumbuwi.
 
nashukuru mkuu. Kuna kitu kipya nimepata
 
Sina hakika kama Modem zinaathirika na virus...........i dont think so
Kwa RAM yako hiyo kuweka windows 7 ni kulazimisha na kupunguza ufanisi wa pc, weka windows xp
microsoft security essential ndio AV inayoendana vizuri na specification za za pc yako

NB waweza kuongeza RAM yako to 1gb kwa ufanisi zaidi wa pc yako
 
Wakuu
Moderm (Airtel) imeanza kuniambia 'there is no disk in the drive. please insert a disk into drive/Device/harddisk1/DR5' kila ninapochomeka moderm. Ilianza na flash na sasa moderm nayo inafanya hivyo. Natumia min laptop, acer windows 7
1. Tatizo ni laptop au hizi flash/moderm?
2. Moderm inaweza kuwa na virus?
3. Nimeshindwa kuweka anti - virus katika laptop maana ina RAM 500 hivyo kila niki install anti - virus (za kudownload
free/trial) laptop inakuwa slow sana na niki uninstall inarudi katika hali ya kawaida. Anti - virus gani inafaa kwa laptop
ndogo?

Naombeni msaada wakuu maana kazi zinakwama. Nimejaribu ku google nimeshindwa kupata jibu

Sio moderm bana ni modem!!
 
Back
Top Bottom