Msaada: Namna ya kumuomba mwanamke tunda

Msaada: Namna ya kumuomba mwanamke tunda

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakuwa tizi pale mlala oi anapokutana na mtoto wakishua
Araf mlala oi nguo zake za ndan ni za waenga na wakati mwingine Kule hapasafishi
Wakubwa wameelewa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]Mbavu zanguuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very simple... Mwambie nipe tunda full stop
 
Wakuu kabla yayote niwasalimu kwanza, Habari zenu?

Baada yakusaliti vyama vyangu(CHAPUTA na CHAMATA) na kwa ushauri wenu wana JF, nimefaanikiwa kumrowa mtoto mkali na mpaka sasa tuna miezi miwili katika mahusiano yetu.

Tatizo langu inapofikia swala lakuomba match ya urafiki(mgegedo) domo linakuwa zito zaidi ya lile la Timbulo

Nawaombeni ushauri ili nami nipate kuonja kwenye tunda la Eden


Sent using Jamii Forums mobile app
Mpe namba yangu nimshawish akupee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simple tu mbona, kwanza ju aààaaaaàaàaaal unaongea. na ..wanamke wa aina gani uyo umuombae ni je ni cheap,!? au ni expensivu,!?
ukishajua hayo itakua rahisi kwako kuomba tunda na kupewa kirahisi....

mi binafsi sitongozi kusema nakupenda hapana siwezi ninaempenda ni mmoja mi huwa naenda direct ___ oya vip ninaishu nataka tuongee...
akija sasa...

akija either kwa kuwahi au kuchelewa nampa neno mfano kaja ndani ya muda ' flani unaheshima mno alafu nafurahi unavyojali time...' utasikia mmh aya nambie

Usiwe kinyongee wala usianze kuzungumzia sijui leo nimekula dagaa au sambusa pili mfukoni usiwe na mchanga tu uwe na kilinda mfuko

unamwambia in hard talk ila try iwe kiromantic( unaweza jifanya umelewa ) kwa sisi walevi inakua simple mfano unamvuta closer kwa kumng'at sikio unamwambia flan nataka muda wako siku flani natak nito mb.a ne na wewe

ukishafanya ivo hata akikataa jua ushajionyesha we kidume na atakufikiria na mziz wa aibu ushaukata

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom