Msaada namna ya kukuza picha

Zedikaya

Senior Member
Aug 10, 2011
119
14
Huwa nnatumia simu katika kupata huduma,tatizo ni kuwa, kwa sasa na wakati mwingine picha zinazofunguka huwa ni ndogo sana kuweza hata kuzitambua,
na nyingi hazikubali kukuzwa,
naombeni msaada wa kurekebisha hilo, au tatizo ni maderator?
 
Back
Top Bottom