Msaada: Namna ya kuandikishiana mkataba wa bodaboda

Jina lake kamili, kiapo cha yeye kupokea pikipki kutoka kwako,regstration number za pikipki,tarehe ya mkataba kuanza na kumalizika, masharti ya mkataba kama atatengeneza yy ikiharibika, atalipa fine kwa makosa yote ya barabarani bila kuathiri marejesho, akishindwa kulipa marejesho kwa kipindi flan eg. One week atavunja mkataba with no compasation.ikiibiwa atailipa mpya. Baada ya mkataba kuisha utamkabidhi pikipki na kadi yake original. Bado itabaki ni mali yako kabla ya mkataba kuisha. NB. Hakikisha ina vibali vyote kabla haijaingia barabaran. Mengine utaongezea.
bwii tusaidiane kuandika mkataba maana maelezo yako yako vizuri kama una sample ya mkataba nitumie humu abubakarimnyonge@gmail.com
 
Back
Top Bottom