Msaada namna ya ku Download eBooks PDF free

Msaada namna ya ku Download eBooks PDF free

Kaka nashukuru sana yaani nimepata vitabu kibao latest vya mwaka huu...hakika jamii forums kuna great thinkers....nitaanza na hiki kimeandikwa na mtumishi wa Mungu His Holiness Pope Francis...From Heaven and Earth.... Baadae nita ruka na Henry Kissinger...The White House years....
mbona naki-search sikipati?? umekipataje??
 
Purchasing and Supply Chain Management: Strategies and Realities
by Michael Quayle

Ninacho hicho mkuuu....
mkuu ntafurah kama ukikiattach hapa, huenda kikakidhi mahitaji yangu ya muda mfupi....japo natafuta sana hyo CIPS
 
Hauna haja ya ku-download PDF, download hii application inaitwa Icecrean eBook Reader hapa:
Download IceCream Ebook Reader Free 2.2 ML Torrent - Kickass Torrents
Then pita kwenye link hii upakue vitabu vikiwa kwenye format mbalimbali kama .mob, pdf, na epub, ila mimi napenda sana epub format.
Electronic library. Download books free. Finding books
Wakuu niwashukuru sana kwa maujanja haya maana hata mm nikikuwa natamani kusoma vitabu hivi lakini nashindwa jinsi ya kuvipakua.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kaka nashukuru sana yaani nimepata vitabu kibao latest vya mwaka huu...hakika jamii forums kuna great thinkers....nitaanza na hiki kimeandikwa na mtumishi wa Mungu His Holiness Pope Francis...From Heaven and Earth.... Baadae nita ruka na Henry Kissinger...The White House years....
Mkuu inaonekana wewe ni msomaji mzuri wa vitabu. Keep it up!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wakuu niwashukuru sana kwa maujanja haya maana hata mm nikikuwa natamani kusoma vitabu hivi lakini nashindwa jinsi ya kuvipakua.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Yes Mkuu, keep reading.

Msolo[emoji769] 2017
 
Nitaanza kuweka malengo ya kusoma vitabu kwa idadi. Maana nadownload tu lakini kuvisoma ndio changamoto niliyonayo.

Sent from my MHA-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Nitaanza kuweka malengo ya kusoma vitabu kwa idadi. Maana nadownload tu lakini kuvisoma ndio changamoto niliyonayo.

Sent from my MHA-AL00 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu...muda wa kusoma ni shida.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
mimi natafuta hiki kitabu "Purchasing and Supply Chain Management (Eighth Edition) - CIPS" Authors: Kenneth Lysons & Brian Farrington Chief-Mkwawa nakipataje hiki maana nimekisaka sana....msaada please!!!
Wakuu atakayeweza kupakua kitabu kinaitwa THE WRIGHT BROTHERS anisaidie jamani. Nakitafuta sana kitabu hiki...kinahusu ndugu wawili wa Marekani waliorusha ndege kwa mara ya kwanza, yaani Wilber Wright na kaka yake.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Wakuu naombeni msaada wa vitabu vya shaaban robert kwa anayeweza atakuwa kanisaidia sana tena sanaaaa na kitabu kingine kinaitwa "You can't win fight against your boss"

Natanguliza shukrani zangu

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu...muda wa kusoma ni shida.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Muda unatosha kabisa sema huujui kuupangilia tu...bill gates ni bilionare ni mtu busy sana lakini anasoma vitabu50 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom