Msaada namna ya ku Download eBooks PDF free

Rihana

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
498
250
Wakuu, habarini.

Kwa yeyote mwenye access na latest eBooks ambazo naweza kudownload for free naomba msaada Kuna ndugu yangu mmoja alinisaidia search engine moja inaitwa www.torrentz.com lakini naona ni complicated sana siwezi download kabisa. Napenda non fiction hasa hasa latest books vikiwa katika mtindo wa PDF...natanguliza shukran za dhati. Aksante
 
Ingawa nisingependa kuhalalisha wizi, torrents ina kila aina ya progies na vitabu ambavyo ungeweza ku download na kujisomea.
Kama unatumia pc/laptop/notebook yenye Windows OS, download BitTorrent au utorrent kwenye pc na install, then nenda torrentz.com na utafute kwenye search engine yao kitabu unachohitaji, download kwa kutumia torrent uliyoinstall tayari...then you're done!

Kwa mtumiaji wa simu, unaweza kutumia ereaders kama wattpad, kindles, Amazon(nadhani)...nenda google store au market store, download hizo readers na kupitia hapo utapata vitabu vingi fo free.(hapo utajipakulia vitabu kwa njia sahihi na sio wizi)
 
Check Hapa :- Library Genesis

Kuna Sci-Tech books,Standards,Magazines,Fictions and Comics,,,Zipo katika extensions tofauti {pdf ,epub , mobi etc etc},good thing ni kwamba most of the books zinakua katika format tofauti tofauti,you choose kama unataka kikiwa katika pdf format or epub or whatever.
And if you are into Sci-Tech,basi matatizo yako yote yamekwisha,so far kuna kila kitabu aise,sijawahi kosa kitabu nikitakacho.
NOTE:- Pirating is totally Illegal!,kama una uwezo wakupata kitu legally,then be it,kuna watu behind izo pirated stuffs watoa jasho lao!
 
Wakuu, habarini.

Kwa yeyote mwenye access na latest eBooks ambazo naweza kudownload for free naomba msaada Kuna ndugu yangu mmoja alinisaidia search engine moja inaitwa www.torrentz.com lakini naona ni complicated sana siwezi download kabisa. Napenda non fiction hasa hasa latest books vikiwa katika mtindo wa PDF...natanguliza shukran za dhati. Aksante
Hauna haja ya ku-download PDF, download hii application inaitwa Icecrean eBook Reader hapa:
Download IceCream Ebook Reader Free 2.2 ML Torrent - Kickass Torrents
Then pita kwenye link hii upakue vitabu vikiwa kwenye format mbalimbali kama .mob, pdf, na epub, ila mimi napenda sana epub format.
Electronic library. Download books free. Finding books
 
Kaka nashukuru sana yaani nimepata vitabu kibao latest vya mwaka huu...hakika jamii forums kuna great thinkers....nitaanza na hiki kimeandikwa na mtumishi wa Mungu His Holiness Pope Francis...From Heaven and Earth.... Baadae nita ruka na Henry Kissinger...The White House years....
 
unawezaje kusoma nonfiction? napenda vitabu sana, have read over a thousand fiction books. lakini siwezi hata kufika page kumi za nonfiction
 
Dah santeee mzua hoja na santeee wazima hoja hakika mmenisaidia nami pia!
 
Kaka nashukuru sana yaani nimepata vitabu kibao latest vya mwaka huu...hakika jamii forums kuna great thinkers....nitaanza na hiki kimeandikwa na mtumishi wa Mungu His Holiness Pope Francis...From Heaven and Earth.... Baadae nita ruka na Henry Kissinger...The White House years....
Kweli hapa ni kwa magreat thinkers mmenisaidia na mm hitaji langu
 
Actually napenda vitabu bt mostly napenda viwe katika style ya sauti (audio) napenda sanaa.. Chief-Mkwawa where can i get this brother....
 
Well fiction ni propaganda za mwandishi sasa mimi siwezi ingiza mawazo yasiyo na uhalisia kichwani napenda kusoma vitu halisi
Can you please suggest names za novel za kiuhalisia kama hiyo pope na henry kissinger?? nataka nizianze na mimi!!
 
mimi natafuta hiki kitabu "Purchasing and Supply Chain Management (Eighth Edition) - CIPS" Authors: Kenneth Lysons & Brian Farrington Chief-Mkwawa nakipataje hiki maana nimekisaka sana....msaada please!!!
Purchasing and Supply Chain Management: Strategies and Realities
by Michael Quayle

Ninacho hicho mkuuu....
 
Back
Top Bottom