Kunywa Bier kwa wingi, utajikuta unalala hata bar hapo!!!!!!! Au nenda kwa wakorea kwenye clinic yao mwenge, watakutibia kwa njia za kwao huko!!!!!
Chunguza style yako ya maisha.Una hofu,unaumwa,kazi nyingi?wakati upo macho unawaza nini?ni vizuri pia ukamuona daktari.Usingizi ni muhimu sana.
acha kufikiri kupita kiasi kwa vitu vya kawaida, panga mambo yako katika ratiba nzuri na kila kitu ukifanye bila kuchanganya.
Kuna watu mpaka kula anakuwa anafikiri mambo mengi mpaka anakosa hamu ya kula.
Halafu fanya mazoezi kidogo mwili utachoka na utapata usingizi vizuri,
Kula mavi ya bata
Mkolawake mmmmmmmhhKula mavi ya bata
Everytime before bed hua nawaza sana mambo ambayo nataka kuyafanya. . .I think labda ndio yananinyima usingizi kweli.
Wakuu, I think i am turning isomniac, kwa siku I hardly sleep two hours halafu usingizi wenyewe ni wa ku beep beep. . .any help on that?
jaribu kupunguza hayo mawazo fanya yale unauwezo nayo mengine yanawakati wake usingizi muhimu
mkuu una tatizo la msongo mawazo au stress kwa "kikoloni"
unatakiwa kuwa na positive thinking, kisha ufahamu jambo lialokupa stress ili siyo uepukane nalo, bali utafunte njia nzuri ya kulikabili
punguza goals or objectives, uwe na zile unazoamini kwa dhati kuwa unaweza kuzitimiza maana unaweza ukawa unawaza kununua hummer wakati hata vitz tatizo. fanya mazoezi, kula vizuri, na pata muda wa kutosha kupumzika. naposema kupumzika namaanisha kupumzika, wakoloni wanasema vacation, tafuta sehemu tulivu nenda kwa siku kadhaa, tulia kula bata jiachie kabisa
habari ndo hiyo