copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,384
Kuna huyu mdudu wa kuitwa Nairobi fly (narrow bee fly) kanitambaa uso wote haufai umejaa makovu kila pahala. Msaada kwa yeyote aliyewahi kukumbana nao alitumia dawa gani maana hali si hali, uso umeumuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
picha ya uso au ngozi ilivyokuwa kwa sasaKuna huyu mdudu wa kuitwa Nairobi fly (narrow bee fly) kanitambaa uso wote haufai umejaa makovu kila pahala. Msaada kwa yeyote aliyewahi kukumbana nao alitumia dawa gani maana hali si hali, uso umeumuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
kijana haya matako kwenye avatar yako ni yako?pole sana kijana maana si mchezo
MKUU BILA PICHA TUTAKUPA VIPI SURUHISHO YAKINIFU??! [emoji848][emoji848]
Mkuu kumbe unafahamu ni Narrow bee fly.. Kwanini umeandika Nairobi?
Asante sana mkuu!Usipake chochote zaidi ya kupaosha na maji safi na kupakausha na taulo safi taratibu, unaweza yaweka chunvi kidogo sana. Jizuie kupakuna na kupashika shika mara kwa mara. Nilifanya hivyo kwa mwanangu na palikauka pakapona.
pole, nenda pharmacy utapewa majibu mazuri, humu utaambulia kejeri tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk majibu yote lililonichekesha la kupaka dawa ya mswaki!!![emoji23][emoji23]
Uso uliuweka wapi mpk akauuma huyo fly..? Chukua tuzo ya kujisahau mkuu! Usisahau kujipaka dawa ya kusugulia meno au mswaki[emoji23]