Msaada..naipataje Movie ya ROOTS 1977(kunta kinte)

Mkuu size yake 38.2 GB balaa. Hiyo mwaka 2006 kurudi chini ilikuwa size ya HDD ya computer inayoonekana ya kisasa kubwa. Maisha ya ICT yanaenda kasi sana. Nimeikumbuka Moore's Law kwenye Computer Systems.
Mkuu
Youtube umeingia kuitafuta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom