![]()
Wasalaam JF,
Wakuu naomba mwenye kujua sehemu ninaweza kupata wino wa hii pen nimejaribu kuutafuta nimekosa. Nitashukuru sana kwa msaada wenu.
pamoja sana mkuu, shukran sanaTunajua tuu sisi wa P O BOX wa dot com sio rahisi.Kama upo dar nenda mtaa wa india duka linaitwa pranpen.mwanza nenda duka linaitwa horizon lipo diagonaly opposite mwanza hotel.dodoma nanda kwa victory opp.nyerere square.
Ukikosa kote nenda masumin wakuagizie