Msaada: Nahitaji vitabu, Adili na nduguze, Mirathi ya hatari

Mkuu kama upo Dar nenda mtaa wa Samora kuna duka maarufu kubwa la vitabu la TPH. Sio mbali na sanamu ya askari monument. Hapo kuna vitabu vyote vya zamani na sasa vya kila aina. Utapata hadi vile vya Alfu Lela Ulela, vile vya kitambo maarufu vyote.
 
Uko sahihii mkuuu
 
Ahsante sana kiongozi
 
Back
Top Bottom