Msaada nahitaji unga wa ndizi ..

Msaada nahitaji unga wa ndizi ..

Mkuu, ukitaja ndizi... mie nawazaga mbali sana.
Ama ni banana gani yenye unaitakia unga chief....[emoji53] [emoji52]
 
Plantain banana!! Au green banana mkuu
Sawa mkuu....
Miniliwaza zile unga zenye zinajisaga kwa dhakar za mijidizi ya SUNLG na BOXER (pikipiki).....[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imebidi nicheke kwa nguvu aisee mpka mwenye nyumba na majiran wametoka nje hapa
 
Fanya uchunguzi utuletee na sisi huku maana haya madude huwa tunayakata na kuyatupa kumbe ni chakula kizuri tu
Kwanza nitoe samahani kwa kuvamia uzi wa mleta mada.
La pili mimi ni supplier mdogo wa vyakula vya aina zote (nje ya nchi)
Nahududumia nyanja nyingi sana na jambo la kuhuzunisha bidhaa zote zipo nyumbani lakini hatujui kuvitumia

Kwa mfano maganda yote ya matunda tunatupa lakini wenzetu wanakausha na kuwa unga kama machungwa nk
Hata mbegu zote nauza kama za komamanga nk na zinahitajika sana

Lemon powder na orange powder zinatumika kwa keki lakini sisi tunatupa tu
 
Nimetuma link hii kwa mtu anayefanya kazi hii. Unga wa ndizi ni mzuri sana. Je akupateje?
 
Kwanza nitoe samahani kwa kuvamia uzi wa mleta mada.
La pili mimi ni supplier mdogo wa vyakula vya aina zote (nje ya nchi)
Nahududumia nyanja nyingi sana na jambo la kuhuzunisha bidhaa zote zipo nyumbani lakini hatujui kuvitumia

Kwa mfano maganda yote ya matunda tunatupa lakini wenzetu wanakausha na kuwa unga kama machungwa nk
Hata mbegu zote nauza kama za komamanga nk na zinahitajika sana

Lemon powder na orange powder zinatumika kwa keki lakini sisi tunatupa tu
Ndio mkuu ...nimeona wale jamaa wapo makini sana na vitu ambavyo sisi tunaona havina maana
 
Kwanza nitoe samahani kwa kuvamia uzi wa mleta mada.
La pili mimi ni supplier mdogo wa vyakula vya aina zote (nje ya nchi)
Nahududumia nyanja nyingi sana na jambo la kuhuzunisha bidhaa zote zipo nyumbani lakini hatujui kuvitumia

Kwa mfano maganda yote ya matunda tunatupa lakini wenzetu wanakausha na kuwa unga kama machungwa nk
Hata mbegu zote nauza kama za komamanga nk na zinahitajika sana

Lemon powder na orange powder zinatumika kwa keki lakini sisi tunatupa tu
Mkuu tafadhali fungua Uzi hili ni somo tosha la fursa kwa vijana....we fikiria km mjini Dar machungwa yanavyolika wewe ukiwa kazi yako ni kukusanya maganda na kuyatengeneza kwa mahitaji mengine na kukuingizia kipato....
Hebu mkuu fanya mpango Uzi uandike " je wajua kwamba......" Alafu utudodose kila kitu ambacho sisi hatufahamu matumizi yake tupo humu kuelimishana na kutoana tongotongo
NB
Ukianzisha Uzi initag nahitaji fursa km hizi
 
Mimi niko nje ya Tz na ninafanya sana hizo biashara na kama ni kutengeza inahitaji mashine za kusaga na kukausha

Huko hawatumii sana ila kwa ulaya na india au pakistan na middle East wanatumia sana kwa kupikia

Asante kwa kuliona hilo lakini fursa zipo nyingi sana ila pa kuanzia na mpaka vigezo vyote ndio mtihani huko
 
Kutupa dodosa mbalimbali sio mbaya ya mambo ya vyakula hata huku tunaweza kutumia
 
Back
Top Bottom