Biashara ya ufugaji kuku wa mayai..!

Ismail6

New Member
Nov 13, 2022
1
0
Habari za asubui waungwana,Husika n kichwa cha habari hapo juu Nahitaji nifanye biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai..,Je inaweza nitoa ikiwa mtaji wangu Almost 5Mill,Na athar zake ni zipi..Ahsante
 
Back
Top Bottom