Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k

Tafadhali nipe jina na maana yake pia nijulishe ni la jinsi ipi ke au me,

Karibuni wadau.
Kabila gani mkuu

Kabila ni muhimu kwa sababu yanabeba baraka za kimila
 
Nyemo kigogo maana yake furaha jinsia Me

Kichwani yamejaa ya kinyakyusa lakin maana zake kama utahitaji wapo humu wanaweza kukusaidia maana zake mfano Andendekisye,Ambwene,Atupokile,Atupele etc
 
Back
Top Bottom