Msaada: Nahitaji Kuunganisha Smart Tv (Hisense) na Simu (Samsung)

Siza Boy

Member
May 25, 2020
80
42
Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view).

Simu yangu haina Screen cast or smart view kwahiyo nashindwa ku Connect.

Ila nasikia unaweza kutumia njia ya Wi-Fi so kwa anayefahamu hii njia anielekeze maujanja nami nitambe.

Natanguliza Shukrani 🤝
 
Phone yangu ni Samsung galaxy grand prime pro
Nimecheki inayo wifi direct.

Last time natumia samsung ukienda setting Kisha wifi juu kushoto unakuta option ya wifi direct. Click hapo ku initiate...

Then nenda kwenye tv somewhere Kuna option ya kuweka TV yako on iwe visible then itatokea kwenye simu then connect.
 
Shukrani sana ngoja nilifanyie kazi kabsa
 
Ikishindikana njia ya Chief-Mkwawa! Nenda kanunue waya wenye kichwa upande mmoja ni HDIM port na upande mwingine uwe na kichwa cha MICRO USB type C (unaofanana kama pini ya chaja ya simu), yaan HDIM to micro usb type C! Then upande mmoja (HDIM port) chomeka kwenye TV yako na upande ule unaofanana na chaja ya simu chomeka katika simu yako! Then furahia mwonekano wa simu yako katika TV!
 
Njia hii I nahitaji simu iwe na usb 3.1, simu za zamani lowend kama J series hazina.
 
Tumia kifaa hiki kitakusaidia
-1418796394-1542676369.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom