BAKWATA mjitafakari: Uislamu unathaminu vikongwe, watoto wadogo na wagojwa

Nov 13, 2022
53
406
Moja kwa Moja kwenye mada. Shekh Mkuu wa BAKWATA anasikia kilio cha wananchi Tanzania yote juu ya misikiti inayomilikiwa hususani na BAKWATA juu ya kelele zinazopigwa alifajiri baada ya adhana, narudia 'baada ya adhana.'

Adhana ni lazima na ni sehemu ya ibada kwenye uislamu lakini kwa hekima imeagizwa, alfajiri mara tu na kabla kusiwepo na mahubiri na baada ya adhana.

Cha kusikitisha kuna baadhi ya Mashekhe kwa kujua au kutokujua utawasikia wakitoa mahubiri au kusalisha kwasauti huku wamefungulia maspika kwa sauti kubwa kama sifa vile!

Inakuwa kelele kwa kuwa kundi hili lililotajwa alfajiri ukilishtua kwa kelele sio rahisi tena kupata usingizi.

Wasalishwe walioko ndani ya msikiti sio walioko nje au wapita njia.
Kwa waraka huu, SHEHE MKUU WA BAKWATA hebu tumia busara kuwaelekeza hawa mashehe wanaotaka sifa wajirekebise tafadhali kilio kimekiwa kikubwa mno!!
 
Moja kwa Moja kwenye mada.
Shekh Mkuu wa BAKWATA anasikia kilio cha wananchi Tanzania yote juu ya misikiti inayomilikiwa hususani na BAKWATA juu ya kelele zinazopigwa alifajiri baada ya adhana, narudia 'baada ya adhana.'

Adhana ni lazima na nisehemu ya ibada kwenye uislamu lakini kwa hekima imeagizwa, alfajiri mara tu na kabla kusiwepo namahubiri na baada ya adhana.

Chakusikitisha kuna baadhi ya maskhe kwa kujua au kutokujua utawasikia wakitoa mahubiri au kusalisha kwasauti huku wamefungulia maspika kwa sauti kubwa kama sifa vile!

Inakuwa kelele kwa kuwa kundi hili lililotajwa alfajiri ukilishtua kwa kelele sio rahisi tena kupata usingizi .

Wasalishwe walioko ndani ya msikiti sio walioko nje au wapita njia.
Kwa waraka huu, SHEHE MKUU WA BAKWATA hebu tumia busara kuwaelekeza hawa mashehe wanaotaka sifa wajirekebise tafadhali kilio kimekiwa kikubwa mno!!
Peleka shtaka lako Nemc, ziko bar nyingi tu zinanyima watu usingizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom