species
Member
- Jun 13, 2015
- 42
- 9
Habari wanajamii na poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika kuliendesha taifa.Shida yangu kubwa ni kwamba mwaka jana niliomba chuo kupitia kwa kutuma maombi nacte ila kwa sababu za kifamilia na kiafya sikwenda kusoma kwenye chuo nilichopangiwa na napenda kwenye kusomea kozi yangu kutimiza lengo na kwenye mfumo nakataliwa kwamba nilishasajilia, je naweza kutumia njia gan ili nacte wanitoe kwenye system ili niweze kuomba upya chuo kwani siku zinazidi kusonga mbele .