Msaada nahitaji kufanikisha jambo hili tafadhali pita hapa

species

Member
Jun 13, 2015
42
95
Habari wanajamii na poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika kuliendesha taifa.Shida yangu kubwa ni kwamba mwaka jana niliomba chuo kupitia kwa kutuma maombi nacte ila kwa sababu za kifamilia na kiafya sikwenda kusoma kwenye chuo nilichopangiwa na napenda kwenye kusomea kozi yangu kutimiza lengo na kwenye mfumo nakataliwa kwamba nilishasajilia, je naweza kutumia njia gan ili nacte wanitoe kwenye system ili niweze kuomba upya chuo kwani siku zinazidi kusonga mbele .
 

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
4,846
2,000
Hivi hii issue inaweza kusumbua hata ukiomba chuoni moja kwa moja kwa kutumia form husika au ni kwa NACTE tu..?
Maana me nilichaguliwa chuo intake ya April ila sikuripoti, ndo nataka niombe sasa chuoni direct for Agriculture college.
 

species

Member
Jun 13, 2015
42
95
Chuoni mdau natuma kama maombi nikiambatanisha na vyeti ndugu au limekaaje hilo na uwekano wa kufanikisha hilo lipo kwa kiwango kikubwa kama nitaomba chuo moja kwa moja mzee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom