Wakuu nina mpango wa kuanzisha shule ya mapenzi hapa tanzania, hii nni baada ya kuona vijana na wazee wengi wanahadhirika katika mapenzi. kozi hii itatolewa kwa muda wa miezi sita. tatizo je italipa? umri muafaka ni upi? msaada tafadhalii....
ntakulipia ada tukasome wote...
mm nitakua mwanafunzi wa kwaza field nitakutafuta miss chagga
Mkuu mwache tukajifunze kupenda... ukiwa huna stress kitambi noAchana na hilo wazo anzisha hospital ya kutibu vitambi, nguvu za jinsia, ngekewa/bahati, tego, pre-mature ejec, fumanizi na kupata pesa za bure utakimbia wateja
Supplementary na disco zitakuwepo?
Mkuu mwache tukajifunze kupenda... ukiwa huna srtress kitambi no
Hahahahaaaa miss chagga a cha vituko
Sawa mkuu naomba ujiandae vizuri kula protin za kurosha hapa kazi tu