mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Kutakuwa na practicle???
vitendo na theoriesmhh mbona tunapoelekea ni hatari sana!! sasa hao wanafunzi utawafundisha kwa vitendo ama vp?
Hakuna Mwalimu wa mapenzi!
hao walimu wanatokea wap.. au ni malaika!!! maana na wao watakua na matatizo yao ya mapenzi huko... hamna ujuzi wala formula za mapenzi acha tupambane nayo tu!!!
Duh nsona ufungue practical hall na isiwe theory
Wakuu nina mpango wa kuanzisha shule ya mapenzi hapa tanzania, hii nni baada ya kuona vijana na wazee wengi wanahadhirika katika mapenzi. kozi hii itatolewa kwa muda wa miezi sita. tatizo je italipa? umri muafaka ni upi? msaada tafadhalii....
Duh nsona ufungue practical hall na isiwe theory
vitendo na theories
Supplementary na disco zitakuwepo?