MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,602
Reaction score
1,864
Nimejaribu kuingia mtandaoni kudownload flash file ya TIGO smart kitoch kila inayokuja inakuja na password unapotaka kui extract hivo kama una faili isiyo na password nipatie link
 
Mkuu kwenye hiyo web uliyodownload hawajaweka password? Chunguza vizuri
 
Hakuna web yeyote iliyoweka password nimejaribu zaidi na zaidi,. Ila nyingi zinataka utume ela kwenye simu ndo wakutumie password
 
Nimejaribu kuingia mtandaoni kudownload flash file ya TIGO smart kitoch kila inayokuja inakuja na password unapotaka kui extract hivo kama una faili isiyo na password nipatie link
Kwanini unataka flash file yake,? Simu ina shida gani?
 
Kuna custom rom ya Gerdaos unaflash kwenye simu za kai os, unaweza wa cheki banana hackers, simu yako sio official supported ila hazitofautiani sana hizi simu za kai os.
 
Ninalo..
Ila sina mb ningekurushia telegram
Tsmart fp789l t-vo2....
 
Nimejaribu kuingia mtandaoni kudownload flash file ya TIGO smart kitoch kila inayokuja inakuja na password unapotaka kui extract hivo kama una faili isiyo na password nipatie link
Vunja password hizo, password za hivyo navunja na unatoa mzigo simple bro acha uzembe.
 
Ww mtoa mada..taja model ya simu yako tukupe file...au unataka za kununua?
 
Back
Top Bottom