MSAADA: Nahitaji flash file ya TIGO smart kitochi

Tafuta mtu wa tigo akuuzie hivi visimu vyao huwa vnazngua sn vnaishia kwny logo ukiwasha mafund wa kitaa hawawez ila ukipeleka tgo dk 10 tu tyr na ni bure kbs kwaiyo kama unataka file hiyo mtafute mtu wa tgo
Kwa fundi gani ulienda akashindwa mkuu, sina file ya hizo samrt vitochi ila zote za kuganda naziponesha ndani ya dk 2 unaanza kuwasiliana. Ilimradi isiwe na shida ya emmc tu.
 
Kwa fundi gani ulienda akashindwa mkuu, sina file ya hizo samrt vitochi ila zote za kuganda naziponesha ndani ya dk 2 unaanza kuwasiliana. Ilimradi isiwe na shida ya emmc tu.
Nilikuwa katoro stasahau maana hakuna tgo shop ilibd niende mwanza kilikuwa na tabia ya kuwaka na kuishia kwny logo na ndo ugonjwa wa hivyo visimu
Kama file unalo mdau analitaka huyo bt tgo shop kakiganda kwny logo ukipeleka tgo shop ni bure tu
 
Kwa fundi gani ulienda akashindwa mkuu, sina file ya hizo samrt vitochi ila zote za kuganda naziponesha ndani ya dk 2 unaanza kuwasiliana. Ilimradi isiwe na shida ya emmc tu.
Emmc (embedded Multi-Media Card)
ndo tatizo la 98% ya matatizo ya hizi simu ukisema unatengeza ila lisiwe tatizo la embedded Multi-Media Card ni sawa na useme hauwezi,.
 
smart kitochi.png

FILE LA TIGO SMART KITOCHI ILO HAPO NINALO LINA GB 1 NJOO UCHANGIE BANDO NIKUTUMIE #0625796805
 
kisimu kama kile hakiwezi kuwa na file kubwa hivyo storage yake yenyewe ni 4GB. Hilo file ni la virtual machine ya linux (based on its name) jamaa anakuingiza kingi.
Jf bhana ebu rudi kaangalie screen shot ya file lenyewe hapo juu na ndo mana nikalipiga picha kwasababu ya wajuaji kama nyie mwenye shida atanicheki
 
:rolleyes::rolleyes::rolleyes: hapo naona firmware itakuwa folder la t-smart hayo mengine sio. capacity ya simu inaendana na firmware size yake, kaiOS ni lightweight OS na hata apps zake ni ndogo sana less than 5mb, sasa ukiniambia hizo gb karibia mbili hata kwa fimbo siwezi amini.
 
hata mimi ndio maana nikashangaa smart kitochi ibebe mzigo wa GB 2.9?
file nyingi nilizowahi kutana nazo zina 130 MB.
 
Nimejatibu kupitia comments za watu humu kuna watu ujuwaji mwingi sana.

Mtu anaambiwa file size gb1+ anakataa

Solutions eti mpaka aende tigo shop hapa ni uongo mimi kuna jamaa anafanya kazi tigo shop huwa ananiletea ku repair kwa maana nao wanachemka.

Solutions
Kama kweli ni fundi simu achana na cracked software sijui sp tools

Angalau nununua tools cm2, nckdongle, nck box uone kama hivyo visimu vitakuumiza kichwa .
Kwa wale wanao tumia nckdongle au cm2 smart kitoch kinatumia chip set ya spd kwa maana una run spd module unachomeka usb kwenye pc na kisimu kikisoma tu una kiformat basi kazi inakuwa imeishia hapo ni kama dakika 2 tu
 
Back
Top Bottom