Msaada: Nahitaji Farasi kwa ajili ya sherehe za ndoa yangu.

Acheni kumsakama GAZETI, hayo ni maamuz yake kama mnafahamu wanapopatikana mwambieni! Al the best Gazeti msalimie bibi arusi mtarajiwa,ila anafaham plan hii au surprise?
 
Last edited by a moderator:
Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.

umenikumbusha kwa babu yangu ambapo wakati nipo mdogo nilipenda sana kudandia matela ya Ng'ombe yaliyopakizwa pamba....teeeeeeeeehhhhh,kila la heri mkuu
 
mmh, mfano mie nikitaka kuwa tofauti kabisa, huwa navua shati, teh teh teh

Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.
 
Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.

Ukihitaji TREKTA la kukodi niPM. Nina John Deer brand new 75hp rangi ya kijani. Nitakuendesha nikiwa nimepiga Cow Boy Hat ya Khaki na viatu vya Scava Caladas. Utakuwa kama uko Mexico City vile
 
tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.

Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.

Anyway, it's ur day!
ha ha. mama unenikumbusha, naomba hilo pia liingizwe kwenye kamati. mie na nanihii tutakodi ndege halafu baada ya kiapo, tutaruka nje. hakikisheni parachute kitatosha watu 2, pia ongezeni na la cameraman.
 
Hapa Zenj wapo tele wa kukodi. Itabidi ulipie ngalawa tuwasafirishe kuja Bongo. Unasemaje??
 
Hivi farasi akiongeza mwendo na kuwaangusha??
Kisha gauni ya bibi harusi ikapanda juu itakuwaje??
I cant wait for the action
inafanyika wapi???
 
Hahaha, huna matani na mchango wako.
Umesahau mpiga picha asiwe biased eeh, walau na wewe utokee.
mi nikienda kwenye harusi
first naingia mapema kwenye ukumbi..
so hata maharusi wakija na ndege huwa sioni wala kutoka nje

but yoote fanya,usisahau tu msosi wa kutosha...
na mc mzuri asie boa,na ndugu zako waambie risala ziwe short na time izingatiwe
mbwembwe zikiwa nyingi huku watu wanapiga miayo kwa njaa na kuchoka ina boa hadi basi
 
Mkuu, hebu wasiliana na mbalamwezi beach resort (iko pembeni ya cine club), kuna jamaa several time nimeshamuona anatembeza farasi beach.
 
Habarini waungwana; Nimependa sana kutumia usafiri huo nikiwa na mke wangu
siku ya ndoa. Ninauliza Farasi Hususani wale WEUPE, kama hakuna hata hao
wengine.

1.Wanapatikana wapi?
2. Kwa bei gani?

MSAADA WENU TAFADHALI.

Naona wengine wamekusakama kwa wazo lako...anyway japo sifahamu wanapopatikana hao White Horses ,nakupongeza and if its within your capacity do it!!..ride your bride on white horse.. we live once, some will marry once and some will live to see others get marrried.
 
Attachments

  • 3310714372_7e0487b188[1].jpg
    3310714372_7e0487b188[1].jpg
    32.6 KB · Views: 25
Habarini waungwana; Nimependa sana kutumia usafiri huo nikiwa na mke wangu
siku ya ndoa. Ninauliza Farasi Hususani wale WEUPE, kama hakuna hata hao
wengine.

1.Wanapatikana wapi?
2. Kwa bei gani?

MSAADA WENU TAFADHALI.
Wasiliana na mamlaka ya hali ya hewa kabisa na hakikisha wanakwambia siku hiyo kutakuwa na mvua kubwa maana itakuwa virceversa yake
 
tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.

Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.

Anyway, it's ur day!

Halafu kwa vumbi la mjini si akifika kanisani, msikitini au ukumbi wa sherehe mwili mzima umekuwa kama kimbulu!!
 
Hapa farasi nawaona kwa Polisi na jamaa mmoja anafanya kazi maliasili
nimejaribu kuulizia nimeambiwa kasafiri. Hivi hapa nchini hakuna wanakopatikana?

Unataka kununua kabisa au kukodi kwa muda? najua pale SUA Morogoro wanakodisha, bei sijui.
 
Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.

ukiwa na farasi haitakuwa tofauti kwa sababu watu wameshazoea kuona kwenye tamthiliya halafu isije ikawaaibisha kwa kuwavpa na ule woga.tumia trekta itakuwa amazing au kodi kijiko ya kutengenezea barabara
 
Back
Top Bottom