Msaada: Nahitaji Farasi kwa ajili ya sherehe za ndoa yangu.

Msaada: Nahitaji Farasi kwa ajili ya sherehe za ndoa yangu.

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Habarini waungwana; Nimependa sana kutumia usafiri huo nikiwa na mke wangu
siku ya ndoa. Ninauliza Farasi Hususani wale WEUPE, kama hakuna hata hao
wengine.

1.Wanapatikana wapi?
2. Kwa bei gani?

MSAADA WENU TAFADHALI.
 
ukihitaji punda niambie..

farasi unahitaji wenyewe tu au na kigari chao cha kukokota?
 
tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.

Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.

Anyway, it's ur day!
 
ukihitaji punda niambie..

farasi unahitaji wenyewe tu au na kigari chao cha kukokota?
Kama unanamba za jamaa wa Magogoni(the Traveller)mpatie kijana kwani nliona picha moja amepanda hicho kigali na farasi akiwa CaNaDa..
 
tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.

Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.

Anyway, it's ur day!
wewe mwache tu apende raha..kwanza kazaliwa kipindi cha Rais anayependa raha..kizazi cha Pampars..
 
Hongera kaka GAZETI Bwana Arusi Mtarajiwa. Mie ninafahamuUsafiri wa Ngamia tu kaka yangu ningekusaidia.
 
Wow sipati picha siku ya harusi yenu mainjoijeeee!
 
Hahahahahahahahahahahahahah
kongosho utavunja mbavu zangu aiseeee!

tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.

Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.

Anyway, it's ur day!
 
Ngoja ni kutafutie namba za uwoya maana yeye alitumia usafiri huu kwenye wedding yake, nikipata nita ku pm
 
ukihitaji punda niambie..

farasi unahitaji wenyewe tu au na kigari chao cha kukokota?
Nilikuwa nahitaji wenyewe tu lakini wewe umenipa fikra mpya ya
hicho kigari bila shaka inapendeza zaidi. Nahitaji wenyewe tu.
 
Wow sipati picha siku ya harusi yenu mainjoijeeee!

kupanda farasi ni fun kutazama tu kwenye tv

first farasi wana kelele
wasumbufu...
sio that fun hasa wale wa kukukotwa..
ni full kelele za kwato na mengineyo
 
Wapo na kigari chao mikocheni.. Sema sijui bei yao ikoje.. Ni pm your no nikuunganishe na mtu kesho... Wanatumikaga sana kwenye harusi sema masharti harus yako isiwe na umbali mrefu.. I mean kanisan na reception hall pasiwe mbali.. Mfano may be harus azania front while receptions hyatt or diamond so wanakuzungusha baharin kidogo kule sea view then ukumbini Tena ukiunganisha na team kama I view kwenye picha mbona itakuwa safi zaidi as studio inafungwa pale pale ukumbin or church picture zinapigwa moja kwa moja...
 
tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.

Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.

Anyway, it's ur day!
Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.
 
Kama unanamba za jamaa wa Magogoni(the Traveller)mpatie kijana kwani nliona picha moja amepanda hicho kigali na farasi akiwa CaNaDa..
Hapa farasi nawaona kwa Polisi na jamaa mmoja anafanya kazi maliasili
nimejaribu kuulizia nimeambiwa kasafiri. Hivi hapa nchini hakuna wanakopatikana?
 
Umewasaidia ndugu zako wenye shida kabla hujaonyesha ufahari wako wa kupanda farasi?
Umemtolea Mungu sadaka halali uweze kupata baraka kwenye ndoa yako?umewasaidia masikini?
Huo ni uamuzi wako au ni shinikizo la upande wa wakwe? waelimishe.

Tafakari Chukua Hatua!
 
tamthilia zitatuua jamani lol
hivi serikali haiwezi kuingilia kati uingizwaji wa tamthilia?? Zinaharibu kizazi.

Hadi mwanangu aje aoe naona atataka parachuti.

Anyway, it's ur day!

sipati picha farasi hadi ukumbini? Unless kama ukumbi hauko mbali na kanisa...(kama ni ya kanisani), au toka kwa bi harusi hadi ukumbini
 
Napenda sana Filamu za kijasusi, huwa sikutani sana na hayo
mambo, ni mawazo yangu binafsi na nikikosa huyo farasi nimekusudia
kutumia ng'ombe wa kigari cha kukokota kama nitakosa huyo nitatumia
TREKTA, yaani nataka nitoke tofauti kidogo.

mi nikienda kwenye harusi
first naingia mapema kwenye ukumbi..
so hata maharusi wakija na ndege huwa sioni wala kutoka nje

but yoote fanya,usisahau tu msosi wa kutosha...
na mc mzuri asie boa,na ndugu zako waambie risala ziwe short na time izingatiwe
mbwembwe zikiwa nyingi huku watu wanapiga miayo kwa njaa na kuchoka ina boa hadi basi
 
Umewasaidia ndugu zako wenye shida kabla hujaonyesha ufahari wako wa kupanda farasi?
Umemtolea Mungu sadaka halali uweze kupata baraka kwenye ndoa yako?umewasaidia masikini?
Huo ni uamuzi wako au ni shinikizo la upande wa wakwe? waelimishe.

Tafakari Chukua Hatua!

hayo mambo mengine baadae......we sema kama unajua mahali walipo......
GAZETI mwaya mi farasi nawaonaga FFU tu....na huwa si weupe.......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom