B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
- Thread starter
- #21
Kama ni mweupe kwenye hizi mambo unapita kimya kimya basi acha ujuaji
Usilazimishe kueleweka wakati umeandika jambo nje ya mada. Halafu, shida ni yako acha kufokea unaotaka wakusaidie.