Hana ufoolish age wowote huyu...Huyu Ni kaendekeza Ngono TU...mbona wakati anachakata wanafunzi wengine..hakuja kuomba USHAURI huku...Upo kwenye foolish age mkuu
Usimuhukumu mtu kwa kitu usicho na uhakika nachoHana ufoolish age wowote huyu...Huyu Ni kaendekeza Ngono TU...mbona wakati anachakata wanafunzi wengine..hakuja kuomba USHAURI huku...
Wewe subiria tu..KWAKUWA hukufanya kitu kwa huyo mwanafunzi.. Kesho hawatokuja watakuwa washatuliza Munkari..Ko kaka unanishaur nifanyaje bado sijakamatika unaeza nishaur