Msaada NACTE

Msaada NACTE

Intelsat

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
323
Reaction score
533
Wakuu profile yangu ya NACTE inaonesha nimekuwa selected katika intake inayoanza April but wananiambia niwasiliane na chuo kwa ajili ya join instructions but hawajaniambia chuo kipi. Nimechagua Engineering course
 
Unaweza fatiilia ivyo vyuoo kuwauliza kama kimoja wapo kama kimekuchaguaaa??
 
Angalia joining instruction za vyuo vyote ulivyoomba then angalia jina lako kwenye hvyo vyuo utakapolikuta ndio huko unachukua JI yako
 
Angalia joining instruction za vyuo vyote ulivyoomba then angalia jina lako kwenye hvyo vyuo utakapolikuta ndio huko unachukua JI yako
Mkuu naona vyuo havijaachia joining instructions
 
Kama umechaguliwa ni lazima wakuneshe programme na chuo hiyo itakuwa hujacheck vema.
 
Na mimi wameniandikia hivyo but hajaonesha kuwa nimekuwa selected chuo gani?/
 
Na mimi wameniandikia hivyo but hajaonesha kuwa nimekuwa selected chuo gani?/
Mkuu ebu tazama tena naona wamerudisha tena status ya wait for selection , mbona wanatuchezea ivi?
 
Back
Top Bottom