Msaada NACTE

Msaada NACTE

Yani nilipata Jana kwenye profile langu kuwa congratulate u have been chosen for intake ya April 2016 communicat upat joining basi afu wajanambia chuo gan nime be selected
 
Nijuavyo mimi selection ni baada ya deadline ambayo ni tar 31 may. Ya vyuo vya april ndio ilikwisha fanyika na matokeo yamewekwa kwenye profile na kusambazwa kwenye vyuo
 
Ok mkuu asante kwa taarifa
 
Yani mi nilikuta UA selected to join intake April 2016 contact to get joining instruction afu leo imerud kama mwanzo ata sielew imerud kuwa nimefinish apptication
 
Mkuu ilirudi tangu jana asee uko faculty gani Mimi Engineering
 
ivi wale wa pree entry course qulification kwa wale wa engeneering wana apply na wao kwa nacte au direct from chuo
 
Back
Top Bottom