Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali

Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali

anhaaa kumbe ndo maana yake.....lakn vp wale wenye six packs hawaingii hapa?[emoji46]
 
Soma hiki kitabu cha zamani sana, kitakupa uelewa wa aina za wanaume na wanawake: The Perfumed Garden Index

Pia tafuta kitabu kinachoitwa Kamasutra, nacho kimeelezea kwa undani sana namna za wanaume na wanawake na role zao. Ni unyago wa hali ya juu.
Inaonekana uko fiti sana nyanja hizo...
[HASHTAG]#shule[/HASHTAG] hukwenda kosomea ujinga
 
Awe anajua kupangilia uongo mzuri wenyewe manufaa na faida....
 
Mwanaume rijali hawezi kula chips na mchuzi wa pweza
 
Anayeweza kula dona kilo moja wenyewe tunaliita fodombe
 
Mhhhh si nina dictionary hapa wewe binti ukuje nikuonyeshe MAANA YAKE
 
c9957dce90fb120d46b324c20d302c2f.jpg
21dd90f3ae497ed0b413f36f02b1cfd9.jpg
 
Awe anauwezo wakutoa pesa na asikumbuke wala kuja kuanzisha Uzi JF
 
Back
Top Bottom