Msaada: Mwenye uzoefu na Adsense

Jul 10, 2015
38
1
Ningeomba nielekezwe jinsi ya kutoa ela yangu ya AdSense endapo inakuwa tiari kwa ajili ya Kunifikia mimi ni njia gani zinatumika maana nimejiunga AdSense Karibu miez miwili imepita na sijapata malipo yangu,Unaweza weka namba yako hapa nikakutafuta Mimi ,Asante
 
Watatuma mail yenye pin ili uverify then utabidi uchague payment method ,kuna PayPal na wired transfer na nyingine lkn mm naona ya pili ndo nzuri
 
Itabidi uweke bank account yako kisha utatumiwa directly ndani ya account yako. Walikuwa wanatumia western union ila wameacha.
 
Nimewaelewa ndugu zangu inatakiwa kufikia sh ngapi katika acount ili itoke na ionekane katka acount?
 
Itabidi uweke bank account yako kisha utatumiwa directly ndani ya account yako. Walikuwa wanatumia western union ila wameacha.

Acha uongo wewe lini wameacha western wakati tareh 28 nmeenda kutoa elaa
 
Back
Top Bottom