Msaada: Mwenye uelewa wowote kuhusu Jeshi la Magereza

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Habar wandugu...
Ninaomba kwa yeyote mwenye ufaham kuhus jeshi la magereza naomba anijuze, chuo chao cha mafunzo kipo wapi, na ni mda gan wa mafunzo mtu hukaa, mafunzo yao yakoje na vipi kuhusu ajira zao na salary zao kwa graduates mfano diploma ama degree zenye fani mbalimbali hasa Law . asanteni
Nawatakia sikukuu njema.
 
Chuo kiko Tukuyu mbeya,mda wa mafunzo ni miezi 6, mafunzo ni ya kijeshi, salary kama watumishi wa wizara nyingine
 
Habar wandugu...
Ninaomba kwa yeyote mwenye ufaham kuhus jeshi la magereza naomba anijuze, chuo chao cha mafunzo kipo wapi, na ni mda gan wa mafunzo mtu hukaa, mafunzo yao yakoje na vipi kuhusu ajira zao na salary zao kwa graduates mfano diploma ama degree zenye fani mbalimbali hasa Law . asanteni
Nawatakia sikukuu njema.

Salary ni TGS D
 
tpsw1, tpsw2, tpsw3, tpsw4, tpsw5....ila kazi sio rahisi kama unavyodhania, viwango hvyo hutumiwa na WIZARA YA MAMBO YA NDANI YOTE YANI police, fire, uhamiaji, magereza so kama ndo unaanza huna cheo unaanza na TPSW1,
 
mwakabholo wqnaanza lini kuchukua na maombi unaombaje.?
 
tpsw1, tpsw2, tpsw3, tpsw4, tpsw5....ila kazi sio rahisi kama unavyodhania, viwango hvyo hutumiwa na WIZARA YA MAMBO YA NDANI YOTE YANI police, fire, uhamiaji, magereza so kama ndo unaanza huna cheo unaanza na TPSW1,

Hizo tpsw1 n.k ndio zinakuwa laki ngapi wakuu?
 
tpsw1 ilikua ni Tsh laki 2 na elfu 70 kwa mwaka 2012 cdhani kwa mwaka huu itakua imepanda mpaka mara mbili yake...nikienda uko na kadegree kangu nikipewa hako kapesa kaliko sawa na kamshahara wa ka housegirl ketu akaa navua gwanda nasepa nikalime kwetu maana hako ka mshahara kwakweli wakakata apo boom, na michango mingine itabaki hela ya karanga tyu...unless otherwise alotoa hio scale amekosea.....u know kuna uzalendoiii lakini huwezi kuwa mzalendo huku mnaniuaeiou kwa njaaeiou uo utakuaeiou utumwara

imepanda maradufu mkuu ila kwa ethics mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa.....posho no 300,000 kila tar 15
 
Back
Top Bottom