Msaada- mwenye phone user guide ya "tecno tv70" anipatie tafadhari.

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
266
109
Pia ningependa kufahamu kwa mwenye kujua:-
Je, TECNO TV70 ni Android au ni aina nyengine?
Je, Mobile TV inayotangazwa na StarTimes imeshaanza kupatikana hapa Bongo au?

Ni hayo tu wandugu.
Msisahau hiyo phone User Guide.
 
Makampuni mengi yameweka user guide manuals kwenye mtandao. Nenda google search utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom