Msaada mwenye kujua aina hii ya app

Msaada mwenye kujua aina hii ya app

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Anayejua application yoyote nitakayoweza ku-download kwenye simu yungu ili nipate option ya kuchangua sauti ya kike.

nina shida nayo sana nataka niifanyie kazi. asanteni
 
Anayejua application yoyote nitakayoweza ko-download kwenye simu yungu ili nipate option ya kuchangua sauti ya kike.

Kazi gani?utapeli?
 
Anayejua application yoyote nitakayoweza ko-download kwenye simu yungu ili nipate option ya kuchangua sauti ya kike.

nina shida nayo sana nataka niifanyie kazi. asanteni

tafuta voice changer...unataka kutapeli mkuu
 
Kuna jamaa mmoja malaya anapenda sana wanawake kuliko kazi amenitapeli hela, nitafuta taratibu zakutaka kumnyaka

nikiwa nafikiri kwamba nitampataje ndio likaja wazo kama hilo
 
kwahiyo unataka kujidharirisha kwa kujifanya mwanamke?

aisee... usije kunogewa
 
Ndugu Shy land Nimeigoogle, na kwenye results ikaja hii app ya kwanza " Phone Call Ultra Voice Changer" kwa hiyo jaribu na ulete feedback...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom