Msaada mwenye idea kuhusu simu aina ya Itel it 1450

Msaada mwenye idea kuhusu simu aina ya Itel it 1450

jobel

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
321
Reaction score
174
Wakuu, naomba msaada kwa yeyote mwenye idea na simu aina ya Itel it 1450 kwani inazingua.Mtu anapokupigia inaonesha kuwa mimi nipo busy hivo mpigaji hawezi kuwasiliana na mimi.Na hiyo nimejaribu kwa line zote bado inatoa jibu hilohilo. Functions nyingine zote ziko poa kabisa. So please anayeweza yeyote anisaidie.
 
Asante mkuu nitafanya kadri ulivyoelekeza kisha nitakupa mrejesho.
 
yap hiyo ndio njia mwenyewe nilitua hivyo ikawapoa

Asante mkuu,nitarudi na mrejesho kuhusu option ya pili ya ku-reset kama ilipokuwa factory. Ile ya ku-disable kwenye call diversion haikuwa na effect kwani option zote ziko-disabled.
 
Do
1.factory resert au
2.disable call divert

Mkuu Chipukizi, nashukuru sana kwa ushauri wako nilifanikiwa kwa kutumia option ya kwanza ya factory resert. Big up brother.
 
Back
Top Bottom