msaada mwenye cd ya Microsoft office

msaada mwenye cd ya Microsoft office

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
Salaam,
Naombeni msaada. Nimeenda kununua wameniambia laki 2 na nusu..hapo bado installation ya window 7..

Nimehangaika nimepata window 7 tena haina key so nimeskip activation. Shida imebaki Ms office. Je kuna mahali naweza download? ama kama kuna mdau anayo Cd yake akinisaidia ntashkuru.
Thanks.
 
download via torrents, kama waoan uvvu na uko dar ntafte kuuwekee office yoyote bure na kukua activatia windows 7 bure
 
Salaam,
Naombeni msaada. Nimeenda kununua wameniambia laki 2 na nusu..hapo bado installation ya window 7..

Nimehangaika nimepata window 7 tena haina key so nimeskip activation. Shida imebaki Ms office. Je kuna mahali naweza download? ama kama kuna mdau anayo Cd yake akinisaidia ntashkuru.
Thanks.

Tumia search box hapo juu kulia andika OFFICE 2013 IPo Kule JF store. Ukikwama nijulishe nikuwekee link
 
Salaam,
Naombeni msaada. Nimeenda kununua wameniambia laki 2 na nusu..hapo bado installation ya window 7..

Nimehangaika nimepata window 7 tena haina key so nimeskip activation. Shida imebaki Ms office. Je kuna mahali naweza download? ama kama kuna mdau anayo Cd yake akinisaidia ntashkuru.
Thanks.

uko mkoa gani?
 
Mkuu uko wapi? Hizo tunapeana bure tu!
 
Ndg yangu hakuna ulichokifanya kama ume skip key baada ya mwezi itakudai key nabitagoma kufunguka na office 2013 ninayo njoo nitakupa key ya w7 pia hiyo office ni tainstall. Nitafute vonostust@gmail.com
 
Pitia hii post

mkuu nashkuru nimefanikiwa kuinstal toka jf store.
Ila link ya activation haijasaidia. Inanileta kudownload download app nyng lakn had sasa sijaweza kupata activation.
 
  • Angalia PM.
 
Back
Top Bottom